Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

STAMINA YA NGUVU ZA KIUME TUMELIMALIZA. Professional

2 weeks ago   Beauty & Well being   Dar es Salaam   29 views Reference: 41

Location: Dar es Salaam

Price: 90,000 TSh


Forever mult Maca ni dietary supplement imetengenezwa na mizizi ya maca inayopatikana huko kwenye milima ya Peru, zamani wazee wa Peru walikuwa wanatumia iyo mizizi kujiweka sawa kwenye stamina ya nguvu za kiume,

kwenye hili kampuni ya forever imelichukua na kulifanyia utafiti, uwezo wa mizizi ya maca na kuongezewa na madini mengine ya manganese pamoja na selenium zinazotumika kubalance hormone pamoja na kuleta utulivu unaposhiriki tendo.

Forever mult Maca Ina l-arginine ambayo ni amino acids zitokazo kwenye protini ambazo zinapoingia mwilini mwako huzalisha compound ya dhahabu ambayo mwili hutengeneza kwa uchache Sana inayoitwa nitric oxide

Nitric oxide hutanua mishipa ya damu na kufanya damu isambae mwili mzima vizuri, hufufua tissue za misuli iliyolegea hii inakupa point Kama una tatizo la ulegelege au uliwahi kufanya PUNYETO au masturbation, pia nitric oxide huongeza uwezo wa misuli ya uume kusimama imara.

Faida za forever mult Maca ni kuongeza idadi ya mbegu, stamina ya kushiriki tendo, uwezo wa kurudia, kusimama imara na kuwa na moods nzuri za mapenzi

Kwa mtumiaji wa kike selenium iliyopo kwenye maca hubalance hormone za kike na kuongeza libido au kuondoa tatizo la uke mkavu.