Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

MATATIZO YA MACHO YAMEPATA UTATUZI. Professional

2 weeks ago   Beauty & Well being   Dar es Salaam   123 views Reference: 42

Location: Dar es Salaam

Price: 120,000 TSh


Macho ni sehemu ya mwili NYETI Sana na inayosumbua mno hususan kwa wanaotumia miwani au mtoto wa jicho. Forever living products imefanya utafiti wa maabara kwa muda mrefu Sana ya namna ya kulimaliza hili.

Forever ivision ni dietary supplement iliyowekewa madini mengi Sana kwa ajili ya kuboresha utengenezaji wa picha kwa kupitia lens ya jicho 

Ina vitamin A ambayo husafisha mboni ya jicho kuona vizuri, lakini ikiambatana na zinc ambayo husafirisha madini ya vitamin A kutoka kwenye ini mpaka kwenye mboni ya jicho.

Ina vitamin E kutoka kwenye nta ya nyuki pamoja na vitamin c kutoka kwenye matunda ya aina ya citrous ambazo zote kwa pamoja hulinda celi za jicho zisiathiriwe na mwanga pamoja na msongo wa mawazo.

Ina lutemax@ 2020, hivi ni virutubisho muhimu zaidi vilivyo kwenye IVISION na vyanzo vyake ni

•carotenoids hii huleta lutein

• RR hii huleta zeaxanthin

•RS hii ni meso.

kazi kubwa ya haya makundi matatu ni kuzuia jicho lisiathiriwe na mwanga wa buluu na huongeza uwezo wa lens ya jicho kuweza kutengeneza focus kutoka kwenye picha ya karibu au mbali. Hii ni point kwa wenye tatizo la miwani wanaopata shida kuona karibu au mbali.

Faida za ivision

• huondoa mtoto wa jicho 

• husaidia macho yenye shida ya kuona mbali au karibu.

• husaidia kusafisha macho.

• nzuri kwa watumiaji wa vifaa vya kidigitali Kama simu au computer kuondosha mwanga wa buluu.

• hulinda celi za jicho zisiathiriwe.

• Ina viondosha sumu kuondosha taka.