Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

WEUSI MAKWAPANI BASI Private individual

2 weeks ago   Beauty & Well being   Dar es Salaam   27 views Reference: 34

Location: Dar es Salaam

Price: 25,000 TSh


Weusi kwenye makwapa huanza kutokea baada ya kutumia bidhaa zenye chumvi z aluminium kutoka kwenye deodorants au lotion au mafuta unayopaka, hii hutokea maeneo yenye muoto wa nywele.

Aloe evershield deodorant Ina aloe vera kwa wingi kukupa unyevu mwingi ,Haina aluminium Wala ani-perspirants hivyo haichomi Wala kuacha alama kwenye nguo, Ina harufu nzuri inayozuia harufu ya jasho ,haizuii kutoka jasho Ila hairuhusu harufu ya jasho, inaondoa weusi makwapani, na kwa wadada chini ya maziwa na chini ya mapaja, inakaa muda mrefu mpaka miezi mitano