Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

KINGA YA MWILI MARA MBILI ZAIDI Professional

2 weeks ago   Beauty & Well being   Dar es Salaam   27 views Reference: 44

Location: Dar es Salaam

Price: 100,000 TSh


Forever bee propolis ni bidhaa iliyotengenezwa na vitu wanavyotumia nyuki kulinda masega au mizinga Yao ya asali isidhurike na vya nje, nyuki hutengeneza bee propolis kutoka kwenye maua, magome na hata matawi au shina ya miti ambazo wanatengeneza asilia na ni lishe pia ambayo ni muhimu Sana kwa afya ya Kinga ya mwili wa mwanadamu.

Watu wa Asia na wagiriki wamekuwa wakitumia hii Kinga ya nyuki Kama lishe ya kuwafanya Kinga zao ziwe vizuri na wanaamini ukila propolis ya nyuki ni ngumu Sana kushambuliwa na magonjwa yatokanayo na bacteria.

Hii forever bee propolis wamechukua Kinga ya nyuki Moja kwa Moja kutoka kwenye mizinga Yao katika mazingira ambayo ni salama kwa nyuki wadago wakazieka kwenye mfumo wa vidonge ambavyo vitakuwa rahisi kwa Kila mtu kumeza au kutumia.

Bee propolis pia hutumiwa na nyuki kulinda afya ya utumbo wa nyuki lakini kwa binadamu ni zaidi ya hiyo, ni chanzo kizuri Cha asili Cha madini ya flavonoids ambayo hupatikana kwenye matunda na mboga ikikupa uhakika wa vitamin nyingi ikiwemo A, C na E muhimu Sana kwenye Kinga ya mwili. 

Hauhitaji Kula magome ya miti Wala matunda mengi Sana, unaweza ukazipata zote kwenye tablet Moja ya bee propolis 🐝.