Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

NYWELE KUKATIKA SASA BASI Professional

2 weeks ago   Beauty & Well being   Dar es Salaam   26 views Reference: 38

Location: Dar es Salaam

Price: 140,000 TSh


Aloe jojoba shampoo imetengenezwa na aloe vera kwa wingi kwa ajili yakutunza unyevu kwenye nywele lakini ikachanganywa na mafuta ya jojoba pamoja na argan oil ambayo yanasifika kufanya nywele ziwe laini na pia kuongeza kasi ya ukuaji wa nywele, hivyo utapata na conditioner yake ambayo ni bora sasahivi duniani kwakuwa imewekewa mafuta makuu ya mywele matatu ikiwa na jojoba, argan oil ambayo yanasifika kwa vitamin E pamoja na rosehip oil kwa ajili yakufanya nywele ziwe smooth na easy manageable, karibu sana