Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

CHAI BORA 23/24 HAINA CAFFEINE Professional

2 weeks ago   Beauty & Well being   Dar es Salaam   31 views Reference: 46

Location: Dar es Salaam

Price: 60,000 TSh


Aloe blossom herbal tea ni chai Bora kwa sasa inayomilikiwa na kampuni ya aloe vera duniani iliyopo nchi zaidi ya 170 duniani.

Aloe blossom herbal tea inahusisha mchamganyiko wa majani, mbegu mbegu na viungo vinavyofanya iwe na ladha nzuri Sana iwe ya moto au ya baridi Sana.

Chai hii imekuwa ticket ya watu wengi kuanza siku kwa utulivu mzuri wa akili na kupunguza presha ya siku kutoka kwenye harufu na manukato ya tangawizi na mdalasini iliyobalance kwa sababu ya uwepo wa chamomile na Ganda la nje la chungwa.

Chamomile ni ua lenye harufu nzuri Sana la asili lenye uwezo wa kutuliza akili. Tangawizi na Ganda la chungwa huongeza burudani ya ladha ya chamomile zikileta ladha safi huku zikituliza utumbo. Nyunyiza ya mdalasini hushkilia ladha na harufu nzuri zote kwa pamoja.

Nyongeza ya aloe blossom hufanya chai hii kuwa ya kipekee inayokupa uhuru muda wowote kutumia iwe ya baridi au ya moto.

Aloe blossom herbal tea 🍵 imetengenezwa kukupa wewe uhuru na utulivu wa akili Kila siku Mana kikwazika kupo tu .