Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

HAKUNA HAJA YA MIWANI TENA. Professional

2 weeks ago   Beauty & Well being   Dar es Salaam   26 views Reference: 43

Location: Dar es Salaam

Price: 500,000 TSh Negotiable


Forever eye pack Ina kundi la dietary supplements muhumu Sana kwa macho yako ,kutengeneza picha, kusafisha jicho, kuondoa mtoto wa jicho, kuondosha mwanga wa buluu, kuilinda celi za macho.

Forever ivision, imeunganisha madini muhimu ya macho kuona vizuri, ikiwa na vitamin A ikiambatana na zinc zinazosafisha mboni ya jicho na kuondoa mtoto wa jicho, madini ya lutemax yanayosaidia kuondosha mwanga wa buluu na kulinda celi zisiathiriwe na mwanga, huku zikisaidia myopia pamoja na lens kutengeneza picha kutoka karibu au mbali bila kupata tatizo

Forever Arctic sea imetengenezwa kutoka kwenye mafuta ya olive pamoja na mafuta ya samaki kutoka kina Cha bahari ya arctic ikiwa na omega 3 na omega 9 kwa pamoja, hii husaidia kuboresha nerves za macho kupata taarifa kutoka kwenye akili lakini pia mishipa ya macho inayoleta kipanda uso pindi macho yanapokuwa na tatizo.

Forever lycium plus hii imetoka kwenye mimea ya lycium iliyopo kwenye milima ya china ,lycium Ina vitamin E nyingi sana pamoja na vitamin A , hizi husaidia kusafisha macho, ngozi na Kinga ya mwili.

Package hizi zote ni nutritional supplements na hutoa matokeo mazuri kwanzia miezi mitatu mfululizo ukiwa unatumia especially kwa mgonjwa wa miwani na mtoto wa jicho.