Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

AFYA YA MMENG'ENYO WA CHAKULA Professional

2 weeks ago   Beauty & Well being   Dar es Salaam   38 views Reference: 47

Location: Dar es Salaam

Price: 82,000 TSh


Forever aloe vera gel ni juice iliyotengenezwa na aloe vera, imechukuliwa kiini Cha ndani cha jani la aloe vera iliyopandwa kwa mazingira ya asili bila kutumia kemikali ili isipoteze ubora.N

i aloe vera Bora duniani kwa sasa kwa kuwa Ina asilimia 99.7 ya pure aloe vera huku wakichagua specie Bora na adimu zaidi inayopatikana huko California inayoitwa aloe barberdensis Mila .

Forever aloe vera gel Ina vitamins 12, Ina Amino acids 6, carbohydrate, calcium na magnesium, hivyo hufanya kuwa ni mlo kamili na hutumika Kama chanzo cha nguvu ya asili.

Aloe vera gel huongeza ufyonzwaji wa virutubisho kwenye mmeng'enyo wa chakula kwenye mishipa ya damu , hukupa mmeng'enyo mzuri, choo kizuri lakini vitamin c iliyopo ndani yake huongeza Kinga ya mwili kwa kuongeza ugawanyikaji wa cell nyeupe za damu.

Ni nzuri Sana kwa muonekano wa ndani wa ngozi na wa nje na huondosha sumu kutoka kwenye taka tunazotumia kwa siku Kama hewa chafu, vyakula na vinywaji.

Ni nzuri Sana kwa mwenye tatizo la tumbo kujaa gesi, watoto wadogo wanaosumbua kula na wanaofanya kazi ngumu au muda mrefu kwa ajili ya kukupa nguvu.