Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

DAWA BORA YA MENO DUNIANI Professional

2 weeks ago   Beauty & Well being   Dar es Salaam   25 views Reference: 45

Location: Dar es Salaam

Price: 30,000 TSh


Kumekuwa na midahalo juu ya dawa ipi Bora ya meno duniani, ziko dawa nyingi mno Ila kwa takwimu inashikilia FOREVER BRIGHT TOOTHGEL.

hii ni dawa ya meno asilia imetengenezwa na aloe vera kwa wingi kutoka kwenye kiini Cha ndani Cha aloe vera ikikupa sifa na faida zote za aloe vera kwenye kinywa chako ikiwemo vitamin c, uwezo wa kuondoa gesi tumboni na kung'arisha meno yaliyofifia rangi.

Haina fluoride hivyo ni faida pia kifamilia kwenye watoto wadogo Mana watoto humeza dawa ,na fluoride ni hatari kwa mifupa na meno kuvunjika au kung'ooka ovyo kwa watoto wadogo ,hata kwa watu wazima pia fluoride ni hatari kwa mifupa kusagika, meno kuvunjika ovyo na meno kufifia rangi ,hivyo ni faida Moja wapo kati ya dawa nyingi zilizopo duniani Zina fluoride .

Ina bee propolis asilia kutoka kwenye nyuki ambayo huzuia maambukizi ya bacteria mdomoni na kwenye utumbo, hairuhusu vidonda midomoni, Wala kwenye fidhi, ni nzuri Sana kuzuia wadudu wanaoshambulia meno.