Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

CHUNUSI SASA BASI Private individual

2 weeks ago   Beauty & Well being   Dar es Salaam   34 views Reference: 35

Location: Dar es Salaam

Price: 60,000 TSh


Aloe liquid soap ni sabuni yenye mchamganyiko wa mafuta mepesi zaidi ya manne ikiwemo, argan oil, rosemary oil, coconut oil, jojoba oil na pumpkin oil zikichanganywa na aloe vera nyepesi kwa wingi kutoa bidhaa quality yenye uwezo wa kuongeza unyevu bila hata ya kupaka mafuta, Ina limao pia kwa ajili ya kukausha chunusi na face wash ya direct kwa ajili ya kuzuia chunusi , ni size nzuri Sana na ni Bora Sana kwa watoto wadogo especially wanaosumbuliwa na ngozi