- 2026-08-04 17:29
- Electronics
- Dar es Salaam
- 9 views
Location: Dar es Salaam
Price: 850,000 TSh
️ SNOWSEA Showcase Freezer – Model SN368GF (300L)
SNOWSEA SN368GF ni showcase freezer ya kisasa yenye uwezo wa lita 300, inayofaa kwa maduka, supermarket, mini market, hoteli na biashara za kuuza bidhaa zinazohitaji kugandishwa huku zikionekana vizuri kwa wateja.
Sifa kuu:
Uwezo wa 300 Litres
Milango miwili ya kioo inayoteleza (Sliding Glass Doors) kwa urahisi wa kufungua na kuonyesha bidhaa.
Fast Freezing – hugandisha bidhaa kwa haraka.
Energy Saving – matumizi madogo ya umeme.
High Efficiency Compressor – hutoa ubaridi wa haraka na wa kudumu.
Low Noise – hufanya kazi kwa utulivu.
Taa ya ndani (LED Interior Light) kwa mwonekano mzuri wa bidhaa.
Vikapu/Racks 3 kwa kupanga bidhaa kwa urahisi.
Rangi: Silver
Warranty ya miaka 2.
Inafaa kwa kuhifadhi:
Ice cream
Nyama na samaki
Vyakula vya barafu
Frozen foods mbalimbali
Ni chaguo bora kwa biashara zinazohitaji freezer yenye nafasi kubwa, matumizi nafuu ya umeme na mwonekano mzuri wa bidhaa.