- 2026-08-04 17:46
- Electronics
- Dar es Salaam
- 15 views
Location: Dar es Salaam
Price: 980,000 TSh
️ SPJ Showcase Fridge – 229 Litres
SPJ Showcase Fridge 229L ni friji la biashara lenye mlango wa kioo, lililotengenezwa kwa ajili ya kuonyesha na kuhifadhi vinywaji na bidhaa zinazohitaji ubaridi. Linafaa kwa maduka, supermarket, migahawa, hoteli na biashara nyingine.
Sifa kuu:
Uwezo wa 229 Litres
Mlango wa kioo (Glass Door) kwa kuonyesha bidhaa kwa urahisi
LED Interior Light kwa mwonekano mzuri wa bidhaa
Powerful Compressor – hutoa ubaridi wa haraka na wa uhakika
Fan Cooling System kwa kusambaza baridi sawasawa
Adjustable Shelves zinazoweza kupangwa kulingana na ukubwa wa bidhaa
Temperature Control kwa kurekebisha kiwango cha ubaridi
Matumizi madogo ya umeme (Energy Saving)
Low Noise – hufanya kazi kwa utulivu
Inafaa kuhifadhi maji, soda, juisi, maziwa na vinywaji vingine baridi.
Inafaa kwa:
Maduka na supermarket
Migahawa na café
Hoteli
Biashara za vinywaji na bidhaa zinazohitaji kuonekana vizuri kwa wateja.