• 2026-07-31 18:25
  • Electronics
  • Dar es Salaam
  • 2 views
Reference: 132

Location: Dar es Salaam

Price: 210,000 TSh

OFA KALI – MAK GARMENT STEAMER MK-GS201P

 

Pata nguo safi, nadhifu na zisizo na mikunjo kwa urahisi ukitumia Garment Steamer ya MAK!

 

Uwezo wa maji: 2.0 Lita

Nguvu kubwa: 2000 Watts

Hupasha mvuke ndani ya sekunde 45 tu

Hufanya kazi hadi dakika 35 mfululizo

Viwango 8 vya mvuke (Steam Settings)

Inafaa kwa aina mbalimbali za nguo

Warranty ya miezi 14

 

Bei : TSh 210,000/-

Additional Details

Electronic Brand
Other