• 2026-08-19 00:28
  • Jobs
  • Dar es Salaam
  • 11 views
Reference: 185

Location: Dar es Salaam

Salary: 300,000 TSh

Tunatafuta kijana mchangamfu, mwenye hamasa na uwezo mkubwa wa kushawishi kujiunga na timu yetu kama **Afisa Mauzo (Sales Person)**.

 

**Majukumu Makuu:**

 

* Kutafuta wateja wapya na kutangaza huduma/bidhaa zetu.

* Kujenga na kudumisha uhusiano mzuri na wateja.

* Kufikia malengo ya mauzo ya kila mwezi.

* Kutoa murejesho wa soko na mahitaji ya wateja.

 

**Sifa Zinazohitajika:**

 

* Uzoefu au uwezo mkubwa katika masuala ya mauzo na masoko.

* Kujiamini na uwezo mzuri wa kuwasiliana na kushawishi.

* Uwezo wa kufanya kazi kwa kujitegemea na kufikia malengo (targets).

* Nidhamu na uaminifu wa hali ya juu.

 

**Jinsi ya Kuomba:**

Kama unaona unakidhi sifa hizi, tuma CV yako na barua ya maombi kwenda hiring@napataje.com

Additional Details

Company
MEM WORK GROUP LTD
Work Type
Full-time