Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

NaynaTrendsPoint kariakoo Congo na Agrey PROFESSIONAL

8 hours ago   Fashion   Dar es Salaam   5 views Reference: 18

Location: Dar es Salaam

Price: Contact us


Kutokea dukani kwetu hapa #NaynaTrendsPoint kariakoo Congo na Agrey

Mzigo mkubwa wa nguo zote za watoto kuanzia miaka 0 mpaka miaka 15 umefika

Hili ndio chimbo pekee ambalo linakuonyesha unafuu kwa vitendo

Imagine

✅Hizo nguo za kiume Pic 3 Ikiwa full kama ilivyo bei ni shillingi 28000 size na rangi zote zipo 

✅Hizo Gauni ndefu za watoto wa kike bei ni shillingi 25000 size na rangi zote 

✅Hizo Gauni ndogo za watoto wa miezi 3 mpaka miaka 2 Njoo na shilingi 28000 tuu

Mlio taka kuona zile sample za Gauni classic za shilingi 15000 mje kwenye group langu

Viatu vya watoto pia vipo ☑️ 

Abaya za watoto zipo ☑️ 

Khanzu za watoto pia zipo ☑️ 

Kubwa zaidi hakikisha tuu umewai ku join kwenye group letu kubwa la dukani kila bidhaa na bei yake ya chimbo nakupostia huku kila siku

Additional Details

Condition
New