KUZA NYWELE ZAKO Professional
1 week ago Beauty & Well being Dar es Salaam 18 views Reference: 50Location: Dar es Salaam
Price: 150,000 TSh
Nywele ni sehemu ya urembo wa mwanamke, pamoja na wanaume wa sasa, unapoweka nia ya kukuza nywele alafu zinachelewa inakatisha tamaa kweli kweli, muda mwingine zinakatika zenyewe ukichana, mara ziwe kavu sana, unatumia bidhaa zinakukataa ,sasa basi
Forever jojoba hair pak Ina shampoo na conditioner yake yenye ujazo mzuri sana, ambazo zitakupa wakati mzuri sana kipindi cha matumizi ukifutahia ubora na harufu yake ya manukato.
Aloe jojoba shampoo, HII ina aloe vera kwa wingi kuhakikisha unyevu unabaki kwenye nywele masaa yote, imeongezewa na mafuta ya asili ya kuongeza thickness au upana wa nywele yanayoitwa jojoba, yanaaminika na kila mtu na ni adimu sana. Utaifurahia manukato yake kutoka kwenye tundu la madley ambayo huleta ngozi ya nywele ya asili na kufanya nywele zako kuwa rahisi kuosheka na kusuza uchafu wa nywele na mafuta.
Haijaishia hapo tu imeongezewa argan oil, vitamin B5 na rose hip oil kwa pamoja hizi huongeza lishe kwenye nywele, unyevu usiokauka na viondosha sumu kufanya nywele kukuwa katika ustahili wake.